Maswala ya Uanachama

Je, unapenda kuwa mwanachama ili kumiliki SACCOS yako, tafadhali bofya kitufe hapo chini kupakua (download) fomu, ijaze na kisha iwasilishe kupitia njia zifuatazo;

  • Ofisi ya UVIMA - Siku za kazi

  • Tuma maombi kupitia Barua Pepe (Email)

  • Tuma kwa njia ya Simu (WhatsApp)

Bonyeza kitufe hapo Chini Kupakua (DOWNLOAD) Fomu ya kufungua Akaunti UVIMA SACCOS LTD